videoblogs.com
es

La traducción al español sería: 'XOUH - ZAMANI (VIDEO MUSICAL OFICIAL)'

Favoritos

Xouh

Este vídeo ha sido tendencia en Tanzania

Stream Zamani on all digital platforms
https://onerpm.link/264117172319

Follow Xouh
Instagram: https://www.instagram....
TikTok: https://www.tiktok.com...
Facebook: https://www.facebook.c...
X/Twitter: https://x.com/xouh__

Listen to Xouh
Zamani: https://onerpm.link/264117172319
Audiomack: https://audiomack.com/...
YouTube: https://youtu.be/DTcl5i2dxGA
BoomPlay: https://www.boomplay.c....
Spotify: https://open.spotify.c....
Apple Music: https://music.apple.com/tz/artist/xouh/1666025285

Xouh - Zamani lyrics

Naitwa Xouh
Jeydrama on the beat

Mmmh Eeeh!
Aliniacha eti kisa Nampenda sana
Nikapata wangu tabia zikaendana
Siri sio siri tena sasahivi si tunapendana
Na tuna mpango wa kuwa baba na mama

Ex tuliza wenge huku nimetulia
Maumivu nisha forget nimesahau kulia
Eti sitopata kama wewe hivi nani alikuambia
Haujamfikia tena sikia

Moja - mi ni mzuri kwenye hilo hakuna wa kupinga hoja
Mbili - huna siri penzi lako lilikua kama pilipili
Tatu - akili zako fyatu penzi gani tunashare watu watatu
Nne - Tusijuane naomba tusisalimiane

Mambo ya zamani nimeshatupaga kule
Usinisumbue unajisumbua bure, Miee
Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Miee
Usinisumbue unajisumbua bure

Mambo ya zamani nimeshatupaga kule
Usinisumbue unajisumbua bure, Eeh
Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Mmh
Usinisumbue unajisumbua bure

Nachanganikiwa nikimuona mpenzi
Na Kasema mi ni wake kuniacha hawezi
Halali bila mi ndo wake usingizi
Anawaka waka kama mbalamwezi

Nampa chukua
Nampa Nampa tamu yote yote yote
Nampa chukua
Nampa Nampa tamu yote yote yote

Ex tuliza wenge huku nimetulia
Maumivu nisha forget nimesahau kulia
Eti sitopata kama wewe hivi nani alikuambia
Haujamfikia tena sikia

Moja - mi ni mzuri kwenye hilo hakuna wa kupinga hoja
Mbili - huna siri penzi lako lilikua kama pilipili
Tatu - akili zako fyatu penzi gani tunashare watu watatu
Nne - Tusijuane naomba tusisalimiane

Mambo ya zamani nimeshatupaga kule
Usinisumbue unajisumbua bure, Miee
Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Miee
Usinisumbue unajisumbua bure

Mambo ya zamani nimeshatupaga kule
Usinisumbue unajisumbua bure, Eeh
Mambo ya zamani mi nishatupaga kule , Mmh
Usinisumbue unajisumbua bure

Kc records.

#xouh #zamanı

Compartir vídeo

¿Te gusta La traducción al español sería: 'XOUH - ZAMANI (VIDEO MUSICAL OFICIAL)'? Compártela con tu gente...