MCHENGERWA AVERTIT CHALAMILA/'UMEPATA WAPI MAMLAKA'/ FOURNIT DES INSTRUCTIONS LOURDES
MwanaHALISI TV
Cette vidéo a été tendance en Tanzanie
Waziri wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amekemea vikali, ruhusa iliyotolewa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika kipindi cha muda mfupi, kuruhusu magari ya kawaida kupita kwenye baadhi ya Barabara za Mwendokasi ikiwemo ya Mbagala, kwa sababu hawakuwa na mamlaka hiyo.
Mchengerwa amesema hayo hii leo tarehe 21 Machi 2025, wakati wa tukio la utiaji saini mradi wa DMDP Awamu ya pili, katika mikataba ambayo itahusisha ujenzi wa Barabara katika Halmashauri tano za Dar ea Salaam.
Waziri huyo aliendelea kusema kuwa, kitendo cha kuruhu magari ya kawaida kupita, kimesababisha barabara ya mwendokasi Mbagala kuanza kuharibika, kabla ya magari husika kuanza kupita.
"Mlitoa maelekezo wakati fulani ya kuruhusu magari kupita katika barabara za mwendokasi, mkasahau ya kwamba barabara za mwendokasi sio za kwenu ni za Waziri wa Tamisemi, nyinyi mkaruhusu watu wakapita wakati ule, nimewasamehe."
"Lakini maelekezo yangu, barabara ya mwendokasi Mbagala yamapita Malori ya tani 30 mpaka tani 40, barabara imeanza kuharibika madhara yakeiradi hii itakwenda kusimama" alisema Mchengerwa
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WhatsApp MwanaHALISI TV (+255 692 318213)
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402)
🔘Email: [email protected]
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com
Partager la Vidéo
¿Aimez-vous MCHENGERWA AVERTIT CHALAMILA/'UMEPATA WAPI MAMLAKA'/ FOURNIT DES INSTRUCTIONS LOURDES? Partagez-la avec vos proches...
Playlist

La Grande Émission du Week-end
FOX News
Novedad
Minnesota Wild contre Detroit Red Wings
TNT
Novedad
Ben-Hur
Turner Classic Movies
Novedad
Valero Texas Open, Dernière Manche
Golf Channel
Novedad
Photographe n° 24 : Ken Griffey Jr. au Masters
Golf Channel
Novedad
West Ham United contre Leeds United
ESPN2
Novedad
Velshi
MSNBC
Novedad
SportsCenter
ESPN
Novedad
État de l'Union avec Jake Tapper et Dana Bash
CNN
Novedad
Championnats de Dunk et de Tir à 3 Points Universitaires
ESPN
Novedad
SportsCenter
ESPN
Novedad
SportsCenter
ESPN
Novedad
Fareed Zakaria GPS
CNN
Novedad
Fox & Friends Weekend
FOX News
Novedad
État de l'Union avec Jake Tapper et Dana Bash
CNN
Novedad
