KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 31 JULY 2026
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
This video has been trending in Tanzania
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 31 JULY 2026
UJUMBE WA LEO: UMUHIMU WA KUMTEGEMEA MUNGU KATIKA MAJIRA ULIYOPO.
NENO KUU;
Yeremia 17 : 7 - 8
LENGO KUU:
MUNGU ANAKUJULISHA JUU YA UMUHIMU ULIOPO KWENYE KUMTEGEMEA YEYE, NA NAMNA HUO UMUHIMU UNAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KWENYE LEO ULIYOPO NA KWENYE KESHO INAYOKUJA.
AGENDA ZA MAOMBI
AGENDA YA KWANZA
MSHUKURU MUNGU KWA KUMALIZA MWEZI WA SABA SALAMA.
( Zaburi 92:1, 1 Wathesalonike 5:18 )
AGENDA YA PILI
OMBA TOBA NA REHEMA KWA KUTO KUWEKA UTEGEMEZI WAKO KIKAMILIFU MBELE ZA MUNGU.
( Yoeli 2:12-13. Yeremia 17:5-6 )
AGENDA YA TATU
TUMIA JINA LA YESU KRISTO KUVUNJA UHUSIANO WOWOTE WA NGUVU ZA MIUNGU ZINAYOFANYA KAZI KWENYE MAISHA YAKO KUKURUDISHA NYUMA.
( Kutoka 34:12-13 )
AGENDA YA NNE
OMBA NEEMA YA KUZAA NA KUONGEZEKA KWENYE MUHULA WA PILI WA MWAKA 2026
( Yohana 15:5, Kutoka 1:12a )
AGENDA YA TANO
OMBEA MALANGO WATU WALIOSIMAMA KWENYE MLANGO WA MUHULA WA PILI WA MWAKA 2026 ILI KUKUSAIDIA UVUKE KWENYE KILA MLANGO ULIOKO MBELE YAKO..
( Kutoka 3:10, Yoshua 1:6, Isaya 43:4, Isaya 55:5)
AGENDA YA SITA
MWOMBE MUNGU AKUMBUKE MAOMBI YAKO KUPITIA SADAKA YAKO.
( Matendo 10:4, Isaya 43:26 )
Mhubiri: Ev. Mwl Daniel Mollel
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Share Video
¿Do you like KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 31 JULY 2026? Share it with your people...
Playlist

PlayOverwatch
Novedad
Paper Tiger - Official Teaser Trailer - In Theaters November
NEON
Novedad
No Man's Sky 10th Anniversary Trailer
HelloGamesTube
Novedad
KAI X SPEED MINECRAFT MARATHON BEATING ALL BOSSES *HARDCORE* DAY 3 PART 1
Kai Cenat Live
Novedad
KiiiKiii 키키 'Pop Off Pop Off' MV
STARSHIP
Novedad
Character Trailer - 'Alyosha: Wintry Hunt' | Genshin Impact #Alyosha #NowSnezhnaya
Genshin Impact
Novedad
Spider-Man Brand New Day Box Office UPDATE - 2nd Weekend Drop, Billion Dollar Club, 2026 IMAX Movies
Beyond The Trailer

THE SKIN STAPLER (FULL GAME)
CaseOh

ESPORTS WORLD CUP GRAND FINALS!! OpTic GAMING vs TEAM HERETICS
Scump

Xim Vs Squirtle (Rainbow Six Siege)
Jynxzi

KAI X SPEED MINECRAFT MARATHON BEATING ALL BOSSES *HARDCORE* DAY 2 PART 2
Kai Cenat Live

This Video is The REAL World Cup
SMii7Yplus

Minecraft Speedrunner Swap VS 3 Hunters
Dream

I Became VERITY to Troll My Friends.. (Minecraft)
Cash

Stray Kids 'This & That' Dance Practice Video
Stray Kids
