KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 17 JULY 2026
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
This video has been trending in Tanzania
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :BADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 17 JULY 2026
UJUMBE WA LEO: UNATOKA WAPI NAWE UNA KWENDA WAPI ?
Mwanzo 16 : 8a
"Akamwambia Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, nawe unakwenda wapi?"
1 Yohana 5 : 14 - 15
14 Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
15 Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
Danieli 10 : 11 - 13
11 Akaniambia, Ee Danieli, mtu upendwaye sana, yafahamu maneno nikuambiayo, ukasimame kiwima-wima; maana kwako nimetumwa sasa. Na aliponiambia neno hili, nalisimama nikitetemeka.
12 Ndipo akaniambia, Usiogope, Danieli; kwa maana tangu siku ile ya kwanza ulipotia moyo wako ufahamu, na kujinyenyekeza mbele za Mungu wako, maneno yako yalisikiwa; nami nimekuja kwa ajili ya maneno yako.
13 Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi.
AGENDA ZA MAOMBI
1. OMBA MUNGU AYAFUNGUE MACHO YAKO UONE KISIMA CHA MAJI ULICHOKITAFUTA KWA MUDA MREFU. (Mwanzo 21: 19)
2. OMBA NGUVU ZA MUNGU ZA KIMAAMUZI ILI ZIKUTOE KWENYE MATESO YA MUDA MREFU. (2 Wafalme 7:4, Marko 10:47-49)
3. UMIA DAMU NA JINA LA YESU KUHARIBU KILA VIKWAZO VYA KIROHO VINAVYOLENGA KUKUZUIA UNAKOKWENDA.
(Yoshua 1:5)
4.OMBA UREJESHO WA VYOTE ULIVYOPOTEZA KWENYE KIPINDI CHA MATESO (Yoeli 2:26)
5. OMBI MAALUMU KWA VIJANA: KIJANA: UNATOKA WAPI NAWE UNAKWENDA WAPI?
OMBA MUNGU AKUPE UELEKEO SAHIHI WA UNAKOKWENDA. (Zaburi 32 : 8)
MHUBIRI: Mwl. Kenneth Mushi
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Share Video
¿Do you like KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 17 JULY 2026? Share it with your people...
Playlist

I Watched Avengers: Doomsday Trailer in 0.25x Speed and Here's What I Found
The Canadian Lad
Novedad
UPDATE 30 TEASER | Blox Fruits
Gamer Robot
Novedad
Stray Kids 'After You' Video
Stray Kids
Novedad
GTA 6 Leak Situation Got Even Crazier
penguinz0
Novedad
JYNXZI CUP #2
Jynxzi

IT JUST KEEPS GETTING BETTER | Endacopia - Part 2
Markiplier

Fable ABANDONS the MoDeRn AuDiEnCe & comes crawling back to the CHUDS. Ugliness REMOVED?!
Doctor Disaster

How I Destroyed an Entire Minecraft Civilization
Wemmbu

I Tried Becoming A Voice Actor.. [Choicer Voicer]
Joe Bart Games

🔴LIVE | WARDOGS BETA | SEAL TEAM SEXY | Cloakzy x Nickmercs x Hutch x Karma | #BUNGULATE
TheBurntPeanut

Can You Keep a PARASITE as a Pet?
EYstreem

The Huge Detail We Missed In The Avengers Doomsday Trailer!
Emergency Awesome

SACRIFICE Official Trailer (2026) Chris Evans
Movie Trailers Source

That Ain't Me M'Lord
SMii7Y

NETTSPEND - sober
Nettspend
