KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 03 JULY 2026
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
This video has been trending in Tanzania
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 03 JULY 2026
UJUMBE WA LEO : KUVUNJA VIZUIZI VYA NDANI (BREAKING INNER BARRIERS)
“Safari ya kutoka kwenye vizuizi vya ndani kuelekea uhuru wa fikra na maisha”
Mithali 23 : 7a,
7 Maana aonavyo nafsini mwake, ndivyo alivyo. Akuambia, Haya, kula, kunywa; Lakini moyo wake hauwi pamoja nawe.
Warumi 12 : 2
2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu.
AGENDA ZA MAOMBI.
1. Toba na utakaso kuondoa vizuizi vyote vya ndani (Warumi 12:2)
2. Tumia Damu ya Yesu
(A) kuvunja roho zilizozalishwa na hali mbaya ya ndani
(Zaburi 56:13)
(B) Fungua milango ya kutokea kwenye madhara ya vizuizi vya ndani
(Zaburi 56:13)
3. Itia nguvu za Mungu kutengeneza mpenyo wa kiuchumi katika msimu mpya
(Kumbu 8:18)
4. Maombi ya kikuhani kwa ajili ya wanafunzi na vijana.
(1Tiimotheo 2:1)
Mhubiri: Mwnj. Paul Ringo
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Share Video
¿Do you like KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS | 03 JULY 2026? Share it with your people...
Playlist

CORTIS (코르티스) ‘MONEYMONEYMONEY’ Official Visualizer
HYBE LABELS
Novedad
I Destroyed The Planet For Science (TRAILER)
Miniminuteman
Novedad
I Watched Avengers: Doomsday Trailer in 0.25x Speed and Here's What I Found
The Canadian Lad
Novedad
Stray Kids 'After You' Video
Stray Kids
Novedad
UPDATE 30 TEASER | Blox Fruits
Gamer Robot
Novedad
GTA 6 Leak Situation Got Even Crazier
penguinz0
Novedad
JYNXZI CUP #2
Jynxzi

IT JUST KEEPS GETTING BETTER | Endacopia - Part 2
Markiplier

Fable ABANDONS the MoDeRn AuDiEnCe & comes crawling back to the CHUDS. Ugliness REMOVED?!
Doctor Disaster

How I Destroyed an Entire Minecraft Civilization
Wemmbu

I Tried Becoming A Voice Actor.. [Choicer Voicer]
Joe Bart Games

🔴LIVE | WARDOGS BETA | SEAL TEAM SEXY | Cloakzy x Nickmercs x Hutch x Karma | #BUNGULATE
TheBurntPeanut

Can You Keep a PARASITE as a Pet?
EYstreem

The Huge Detail We Missed In The Avengers Doomsday Trailer!
Emergency Awesome

SACRIFICE Official Trailer (2026) Chris Evans
Movie Trailers Source
